WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI

WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI
kiungo : WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI

soma pia


WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Waziri Mhagama ameuagiza uongozi wa Shiriki la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kubadili mitazamo dhaifu ya kiutendaji na kuanza kufanya kazi kwa kuongozwa na uzalendo ili kuleta tija na kufikia malengo ya Shirika hilo.

Ametoa kauli hiyo mapema mwishoni mwa wiki hii (Novemba 29, 2018) alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi inayoratibiwa na shirika hilo ikiwemo ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu Dar es Salaam. Maeneo aliyotembelea ni pamoja na; miradi wa nyumba za bei nafuu za Dungu, Mtoni Kijichi, Tuangoma na Mzizima pamoja na nyumba za Dege Beach Jijini Dar es Salaam.

Aidha, Kauli ya waziri imekuja mara baada ya kutoridhishwa na hali ya maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo na kuuagiza uongozi wa Shirika hilo kubadili mitazamo ili kuwa na malengo yanayotekelezeka na kwa wakati. “Kwa muda mrefu mmekuwa mkifanya kazi kwa kujitenga katika makundi, mnapaswa kubadili mitazamo hasi na kuwa na mitazamo chanya yenye utendajikazi katika hali ya umoja ili kuendelea kubadili NSSF ili iwe na uzalizaji wa tija”.alieleza Mhagama

Waziri aliongezea kuwa Shiriki linapaswa kubadili hali za mazoea yaliyokuwa si mazuri ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano iliyojikita katika uwajibikaji wa kizalendo. “Lazima mbadili mitazamo ya uongozi  wa mazoea na kuanza kufanya kazi kwa umoja ili kuwa na matokeo chanya yanayokusudiwa ili kuwa na tija kwa jamii na Serikali kwa ujumla”.Alisisitiza Mhagama
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiuliza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Bw.William Erio wakati wa ziara yake katika mradi wa ujenzi wa nyumba za Denge Beach Kigamboni Jijini Dar es Salaam Novemba 29, 2018.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiangalia ramani ya ujenzi wa mradi wa Dege Beach Kigamboni uliojengwa na Shirika la Mifuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa mradi huo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama akiuliza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Bw.William Erio (mwe nye koti la kijivu) wakati wa ziara yake eneo la Dungu lenye nyumba 439 ambapo tayari nyumba 94 zimekamilika katika eneo hilo.
 Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Bi Jayne Nyimbo akitoa maelezo ya ufafanuzi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe.Waziri Mhagama wakati wa ziara yake katika mradi wa nyumba za Dege Kigamboni Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/waziri-mhagama-aagiza-uongozi-wa-nssf.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AAGIZA UONGOZI WA NSSF KUWA NA UZALENDO KATIKA UTENDAJI"

Post a Comment