title : WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KAMBI MAALUM
kiungo : WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KAMBI MAALUM
WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KAMBI MAALUM
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrvdwZQjbC27fOSGq9LcwGL26HCMFW57A0OffisMGJhk7GubFsrluJW6-G0lL2oS_9IO0czA57c-Q-Jweq72WdUCxLnxbMNltmsmkp5j1IlV-31Go-N9CPb7zwy_9f4lVzxmv204zZzLJE/s320/download.jpg)
Wagonjwa 54 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji wa moyo wa kufungua na bila kufungua kifua katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI).
Matibabu hayo yanafanywa na madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa kushirikiana na madaktari wa mradi wa Little Heart wa nchini Saud Arabia ambao ni moja ya mradi wa Afya ulioko ndani ya Taasisi ya Msaada ya Muntada yenye makao makuu yake mjini London nchini Uingereza.
Upasuaji huo umefanyika kwa watoto 52 na watu wazima wawili wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo ambayo ni matundu na valvu .
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salam Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto kutoka JKCI Godwin Sharau alisema kwa upande wa upasuaji wa kufungua kifua wamefanya upasuaji kwa watoto 19 kwa kurekebisha valvu, kuziba matundu, kurekebisha mishipa ya moyo ambayo imekaa vibaya na kurekebisha mfumo wa uzungukaji wa damu katika moyo.
Dkt. Sharau alisema watoto waliowafanyiwa upasuaji wanaendelea vizuri na wengine wameshatoka katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) na kupelekwa wodini kwa ajili ya kuendelea na matibabu ikiwa ni pamoja na kuanza mazoezi.
Hivyo makala WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KAMBI MAALUM
yaani makala yote WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KAMBI MAALUM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KAMBI MAALUM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/watoto-52-na-watu-wazima-wawili-wenye.html
0 Response to "WATOTO 52 NA WATU WAZIMA WAWILI WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI KAMBI MAALUM"
Post a Comment