Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi

Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi
kiungo : Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi

soma pia


Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi

Zaidi ya wasanii 40 ‘Machampioni ‘kutoa burudani ya kufunga mwaka.


Mkuu wa Kitengo cha  Huduma za  Masoko wa Tigo William Mpinga (wa pili kulia) akiwa na mratibu wa Tamasha la Tigo Fiesta 2018 Gardner Habash (wa tatu kulia) pamoja na baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2018 litalaofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salaam Jumamosi.
????????????????????????????????????
Msanii  Nedy Music (wa kwanza kushoto)  akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika viwanja vya Posta jinjini Dar es Salam Jumamosi.  Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za  Masoko wa Tigo Masoko William Mpinga akifuatiwa na Mratibu wa tamasha hilo Gardner G Habash kutoka Clouds Media Group akifuatia na msanii Chege

PIC 3
Msanii Dogo Janja (wa kwanza kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kutangaza Tamasha la Tigo Fiesta litakalofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es Salam Jumamosi. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za  Masoko wa Tigo William Mpinga akifuatiwa na Mratibu wa tamasha hilo Gardner G Habash kutoka Clouds Media Group
PIC 4
Msanii wa muziki wa kizazi kipya TID, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo picha kuhusu ushiriki wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2018 litakalofanyika katika viwanja vya Posta jijini Dar es siku ya Jumamosi. Kulia kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za  Masoko wa Tigo William Mpinga


Hivyo makala Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi

yaani makala yote Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/tamasha-la-tigo-fiesta-2018.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Tamasha la Tigo Fiesta 2018 ‘kuipagawisha’ Dar Jumamosi"

Post a Comment