SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA

SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA
kiungo : SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA

soma pia


SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA

Uongozi wa Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba umefunguka kuwa beki wake wa kati Salum Mbonde amerejea kikosini na sasa ameanza kufanya mazoezi mepesi baada ya kukaa nje kwa muda mrefu akismbuliwa na majeraha.

Mbonde alitua Simba akitokea Mtibwa Sugar msmu uliopita ila amekumbana na bahati mbaya kwa kuwa toka ametua klabuni hapo hajapata muda mzuri wa kucheza baada ya kupata majeraha ya goti kwenye mechi ya Simba dhidi ya Lipuli iliyopigwa msimu uliopita Uwanja wa taifa.

Akizungumza na Waandishi wa habari za michezo makao makuu ya klabu hiyo msemaji wa mabingwa hao wa tanzania bara Haji Manara amesema kuwa hali ya Mbonde imeanza kuimarika na tayari ameshaanza kufanya mazoezi mepesi akijiandaa kurejea kikosini kwenye dulu ya pili ya ligi kuu msimu huu.

"Mbonde anaendelea vizuri na tayari ameshaanza kufanya mazoezi mepesi mepesi ili kujiweka sawa kurejea rasimi kikosini kwa ajili ya kuendelea kuipambania klabu yetu,nafikiri mungu akijalia kheri tutamuona Uwanjani muda siyo mrefu," alimaliza Manara


Hivyo makala SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA

yaani makala yote SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/simba-yaongeza-nguvu-kuimaliza-nkana-fc.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SIMBA YAONGEZA NGUVU KUIMALIZA NKANA FC KIMATAIFA"

Post a Comment