title : RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI
RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali, hafla hiyo imefanyika leo 1-12-2018 Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hivi karibuni wa kwanza Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg. Thabit Idarous Faina, Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi. Asma Hamid Jidawi na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali, wakipitia Hati zao za kiapo kabla ya kuaza kwa hafla hiyo iliofanyika leo 1-12-2018 Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana na Mkurugenzi Mpya wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kabla ya kuapisha Ndg. Thabit Idarous Faina, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kuhudhuria hafla hiyo ya kuapishwa leo Ikulu 1-12-2018.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini hati ya kiapo ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali, baada ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika leo 1-12-2018 Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Katibu Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Bi.Asma Hamid Jidawi, hafla hiyo imefanyika leo 1-12-2018 Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/rais-wa-zanzibar-awaapisha-viongozi.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWACHAGUA HIVI KARIBUNI"
Post a Comment