NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA

NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA
kiungo : NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA

soma pia


NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA


Kikosi cha Nkana Fc 'The Devil' inatarajia kutua leo usiku kwenye Uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere ikitokea kwao Zambia tayari kuwakabili Simba Jumapili hii kwenye mchezo wa marejeano kwa vilabu bingwa Afrika.

Nkana ambayo inatumikiwa na mchezaji wa kitanzaia Hassan Kessy inatua kucheza mchezo huo wa marudiano ikiwa tayari na mtaji wa ushindi wa bao 2-1 waliouvuna kwenye mchezo wa kwanza waliocheza wakiwa nyumbani wiki iliyopita.

Ofisa habari wa klabu ya Simba Haji Manara ameliweka wazi ujio wa wapinzani hao kuja kuwakabili Simba alipozungumza na waandishi wa habari za michezo kwenye makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya msimbazi kariakoo,huku akiweka wazi kuwa timu hiyo itatua nchini kwa kutumia usafiri wa shirika la ndege la Kenya.

"Nkana FC wataingia leo usiku wakitokea kwao Zambia kuja kuwakabili Simba kwenye mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika na watakuja kwa usafiri wa shirika la ndege la Kenya,kwahiyo leo usiku ndiyo watatua pale Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere," alisema Manara


Hivyo makala NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA

yaani makala yote NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/nkana-fc-watua-nchini-kuimaliza-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NKANA FC WATUA NCHINI KUIMALIZA SIMBA TAIFA"

Post a Comment