title : Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
kiungo : Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kushoto akifanya mzaha na Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi alipofika Nyumbani Kwake Jijini Dar es salaam kumjulia hali.
Rais Mstaafu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Kushoto akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Nyumbani Kwake Jijini Dar es salaam kumjulia hali.
Picha na – OMPR – ZNZ.
Hivyo makala Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
yaani makala yote Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/balozi-seif-amjuulia-hali-rais-mstaafu.html
0 Response to "Balozi Seif amjuulia hali Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi"
Post a Comment