title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Kiwanja cha Sabasaba kilichopo Karumwa wilayani Nyang'hwale
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga aliyehamia CHADEMA, Hamis Mgeja ambaye alijumuika na maelfu ya mwananchi waliojitokeza kwenye Kiwanja cha Sabasaba cha Karumwa wilayani Nyang'hwale kumsikiliza Waziri Mkuu alipohutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa CCM wa Mkoa wa Shinyanga aliyehamia CHADEMA, Hamis Mgeja ambaye alijumuika na maelfu ya mwananchi waliojitokeza kwenye Kiwanja cha Sabasaba cha Karumwa wilayani Nyang'hwale kumsikiliza Waziri Mkuu alipohutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita, Novemba 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_29.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Uso kwa Uso na Hamis Mgeja."
Post a Comment