title : VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA
kiungo : VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJEZmcmfVR-9YMXm0ntuJM93K4DeH4q-ame8fxmsc_Xh3RR9AZsBIZsfkY74MhVyDopdqMo13pzFDqIFT-VDn-ttOSAfE8B2R_8iTRFYsr4Rhq-ze0Sra-JVTQHsvaeREf27FfFJgXWL-u/s640/Pic+2177.jpg)
Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (kulia) akizungumza wakati makabidhiano ya mashine ya kusaidia kupumua kwa Watoto njiti ilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Kushoto ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia, Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel (kati).
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCx3HNuoH7UIc1O83WbrUDNR2TeRTiNSCkIpSliERJw25eCTEi_6EVIKJ_whY36MlxP4HDWDGSzftM7iWiubrfkBV2CulKMu3Z3ZVcAODv8W5GPJQaAceEFktnpaOpro_sYhTADDuWrsw/s640/Pic+202.jpg)
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation Rosalynn Mworia, akikabidhi mashine ya kusaidia kupumua kwa Watoto njiti kwa Waziri wa Madini Angellah Kairuki (wa pili kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayesimamia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na walemavu Anthony Mavunde (kulia) katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Bi Doris Mollel.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEja7jNEM_yGvHD0MBEFEfWTMxf6dtrjp3yfxgU0x7Z1OQM1B76MIEk9ieqJug8JRlz2YyyKmUR9BNb2J3En51XF03EFuPktYbcuNfpI9nHWrnwx9jC6O6SDuG7d3UkYL8-xIiHwRra2_is/s640/Pic+211.jpg)
Afisa Muuguzi Msaidizi kutoka Kitengo cha kuhudumia Watoto Njiti Constancia Mankupe akielezea kwa vitendo namna mashine ya kusaidia kupumua kwa Watoto njiti inavyofanya kazi, mashine hii ni mojawapo kati ya vifaa tiba vyenye thamani Sh 25 m vilivyotolewa na taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation vilivyokabidhiwa kwa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ili kusaidia kupunguza vifo vya Watoto Njiti. Kulia kwake ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayesimamia Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na walemavu Anthony Mavunde na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris Mollel.
Hivyo makala VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA
yaani makala yote VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/vodacom-tanzania-foundation-yakabidhi.html
0 Response to "VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAKABIDHI VIFAA VYA KULINDA MAISHA YA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA DODOMA"
Post a Comment