TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI.

TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI.
kiungo : TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI.

soma pia


TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI.

Baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa jana, Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi kupitia TFF, Boniface Wambura, amesema hakutakuwa na siku za nyongeza juu ya usajili wa wachezaji.

Wambura ameeleza hayo kutokana na utamaduni wa timu za kitanzania kuchelewa kufanya usajili wa wachezaji wakiamini kutakuwa na siku za nyongeza hapo baadaye.

Mkurugenzi huyo amesema katika mfumo huu mpya unaotumika kwa sasa maarufu kama TFF FIFA CONNECT hauna cha kuongeza muda hivyo kwa timu ambazo zinategemea ofa hiyo zisahau.

Dirisha limefunguliwa jana Novemba 15 ambapo litadumi mpaka Disemba 15 2018 wakati huo mechi za ligi zikiwa zinaendelea kama kawaida.

Tayari klabu kadhaa zimeshaanza kupigania saini za wachezaji wapya ili kujaza mapungufu ambayo yanazikumba timu zao.


Hivyo makala TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI.

yaani makala yote TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/tff-yafungua-dirisha-la-usajili.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TFF YAFUNGUA DIRISHA LA USAJILI."

Post a Comment