SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU

SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU
kiungo : SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU

soma pia


SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU

*Ni kuanzia Julai hadi Oktoba mwaka huu, kwa msingi na sekondari
*Waziri Mkuu aonya wanaoshiriki wizi wa mitihani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai na Oktoba, mwaka huu, Serikali imetoa jumla ya sh. bilioni 83.2 ili kuimarisha usimamizi na uendeshaji wa shule nchini.

Waziri Mkuu amesema, kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 38.6 zilipelekwa kwenye shule za msingi na shilingi bilioni 44.6 zilienda kwenye shule za sekondari ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa elimumsingi bila malipo.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Ijumaa, Novemba 16, 2018) bungeni mjini Dodoma wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa 13 wa Bunge. Bunge limeahirishwa hadi Januari 29, 2019.

“Katika kuimarisha usimamizi na uendeshaji wa shule nchini, Serikali inapeleka fedha za elimumsingi bila malipo moja kwa moja shuleni. Kwa mfano, katika kipindi cha Julai hadi Oktoba, 2018 shilingi bilioni 38.6 zilipelekwa katika shule za msingi na shilingi bilioni 44.6 kwenye shule za sekondari,” amesema.

Amesema tangu kuanza kutekelezwa kwa mpango wa elimumsingi bila malipo, uandikishaji wa watoto wa darasa la awali na darasa la kwanza umeimarika na kwamba kumekuwepo na mwenendo mzuri wa ufaulu kwenye mitihani ya kumaliza darasa la saba. 
 

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa .



Hivyo makala SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU

yaani makala yote SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/serikali-yatoa-sh-bilioni-83-kuimarisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI YATOA SH. BILIONI 83 KUIMARISHA ELIMU"

Post a Comment