title : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA RAIS WA SEYCHELLES JIJINI NAIROBI
kiungo : RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA RAIS WA SEYCHELLES JIJINI NAIROBI
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA RAIS WA SEYCHELLES JIJINI NAIROBI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na ujumbe wake akizungumza na Rais wa Seychelles.Danny Faure,hayuko picha kushoto Balozi wa Tanzania Nchini Kenya.Dkt. Pindi Chana na kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe Rashid Juma, Waziri wa Ujuenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dkt. Sira Ubwa Mwaboya na Mshauri wa Rais Masuala ya Ushirikiano wa Kimataifa Uchumi na Fedha Mhe. Balozi Mohammed Ramia, wakifuatilia mkutano huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Rais wa Nchi ya Seychelles Mhe. Danny Faure, wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika Hoteli ya Inter Continental Jijini Nairobo Nchini Kenya, wakihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Uchumi Endelevu wa Bahari (Blue Economy)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulia akizungumza na Rais wa Seychelles Mhe.Danny Faure, katika ukumbi wa Hoteli ya InterContinental Nairobi Kenya.
Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA RAIS WA SEYCHELLES JIJINI NAIROBI
yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA RAIS WA SEYCHELLES JIJINI NAIROBI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA RAIS WA SEYCHELLES JIJINI NAIROBI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/rais-wa-zanzibar-dk-shein-azungumza-na_27.html
0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA RAIS WA SEYCHELLES JIJINI NAIROBI"
Post a Comment