NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA
kiungo : NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA

soma pia


NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeungana na wafanya biashara wadogo na wadau wengine katika kushiriki maonesho ya viwanda vidogo yanayofanyika kuanzia  Novemba 22 , 2018 na kufunguliwa rasmi  Novemba 23 , 2018 na Naibu Waziri Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhandisi Stella Manyaya katika viwanja vya Tangamano mkoani Tanga.

Lengo la maonesho hayo ni kusaidia wajasiriamali wadogo kupata masoko ya bidhaa zao, kuweza kujifunza kupitia wajasiriamali na wafanya biashara wengine waliofikia malengo yao pia kujenga mahusiano baina ya taasisi mbali mbali ambazo ni wadau na washirika wa maendeleo.

Kwa upande wa NSSF maonesho hayo yamekuwa ni moja ya fursa kubwa ya kuweza kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa Hifadhi ya Jamii na kutoa huduma mbalimbali zinazotolewa na mfuko kwa wanachama wake na jamii kwa ujumla kwa ukaribu zaidi. Pia imekuwa ni fursa kwa NSSF kuwafikia washiriki wa maonyesho hayo na kuwajuza kwa namna gani wanaweza kunufaika na huduma za hifadhi ya jamii hususani walio katika ajira binafsi kupitia mfumo wa uchangiaji wa Hiari.

Meneja wa Mkoa wa Tanga Elinami Massaoe ametoa wito kwa wakazi wote wa Tanga kutembelea maonyesho hayo na kufika katika banda la NSSF ili kuweza kupata elimu ya kujiwekea akiba itakayo wanufaisha kwa maisha yao ya sasa na ya baadae, pia kuwatoa hofu wanachama kuhusu michango yao na wadau wa mfuko ya hifadhi ya jamii kuhusu muelekeo wa mfuko hususani baada ya kuongonishwa kwa mifuko ya Pensheni na kuwa na mifuko miwili; PSSSF na NSSF.

Meneja pia amesisitiza wajiri walio wadaiwa sugu wa NSSF kwa kusema, “Wajiri wote waliojiunga na NSSF wajitahidi kuleta michango ya wanachama kwa wakati ili wasi wakoseshe haki zao za msingi wanachama wa Mfuko wa hifadhi ya jamii, sambamba na hilo hatua mbalimbali zimeshaanza kuchukuliwa kwa wajiri wote walio wadaiwa sugu ikiwemo kuwafakisha mahamakani ili kupata amana za wanachama wetu.
Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akipata maelezo mafupi kutoka kwa Afisa Uhusiano na Masoko Bi Ummy-kulthum Mnjeja, kuhusu Mafao na huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii alipotembelea Banda la NSSF Siku ya ufunguzi wa maonyesho ya SIDO Kanda ya Kaskazini viwanja vya Tangamano Mkoani Tanga kuanzia Novemba 23/2018.
  Afisa Mwandamizi Idara ya Elimu na  Uhusiano NSSF, Bi Amina Mmbaga akiwa anamkaribisha Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Tanga Ndg. Martin Shigella alipotembelea Banda  la Nssf katika kilele cha maonesho ya SIDO,Mkoani Tanga.
  Meneja Mkoa wa Tanga  Elinami Massaoe akiwa anazungumza na waandishi wa Habari waliofika katika Banda la Nssf  na kuelezwa maendeleo ya NSSF Mkoani Tanga.



Hivyo makala NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA

yaani makala yote NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/nssf-yashiriki-maonesho-ya-viwanda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA VIWANDA VIDOGO (SIDO) KANDA YA KASKAZINI, MKOANI TANGA"

Post a Comment