NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE

NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE
kiungo : NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE

soma pia


NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE

Na Ahmed Mahmoud Arusha

Shirika la taifa la Tafa (NHC)Limewataka wale wote walikabidhiwa hati za viwanja walivyopewa katika la eneo la Safari City lililopo kata ya Mateves nje kidogo ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaendeleza maeneo yao ili kuhakikisha huduma muhimu za umeme na maji zinasogezwa katika mji huo mpya.

Akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Hati ya umiliki wa eneo na kibali cha ujenzi kwa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira(AUWSA) iliyofanyika katika kata ya matever jijini hapa Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa(NHC)Dkt.Maulidi Banyani amesema kuwa shirika hilo katika kuhakikisha linafikia malengo ya kusogeza huduma zake kwa jamii ya watanzania wa vipato vyote na kupunguza gharama za ujenzi kuendana na mazingira.

Ameeleza kuwa limeingia makubaliano na AUWSA na kuwapatia eneo lenye ukubwa wa squaremita elfu 13 kwa ;lengo la ujenzi wa ofisi kuu ya kanda,Karakana,Bohari na Kituo cha Taarifa za mita hatua hiyo itasaidia kupunguza tatizo la maji katika eneo hilo baada ya mamlaka hiyo kuonyesha nia ya kusogeza huduma hiyo kupitia mradi huo.

Kwa upande wake Kaimu mkurugenzi wa AUWSA Mhandisi Humphrey Mwiyombela amelishukuru shirika la nyumba kwa kuwapatia eneo hilo nakuhaidi kujenga jengo lenye ukubwa wa ghorofa sita litakalotumika kama ofisi kuu ya kanda ambalo litafungwa mitambo maalumu ya kupokea taarifa za mbali mbali katika mtandao wao wa huduma za maji.
Mkurugenzi wa shirika la nyumba la taifa Dkt.Maulidi Banyani akiwa na Kaimu mkurugenzi wa Auwsa Mhandisi Humphrey Mwiyombela wakikabidhiana hati ya kiwanja na kibali cha ujenzi wa ofisi za AUWSA kwenye eneo la Safari City nje Kidogo ya jiji la Arusha Picha na mahmoud ahmad wa globu ya jamii Arusha.




Hivyo makala NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE

yaani makala yote NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/nhc-yawataka-waliopewa-hati-mradi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NHC YAWATAKA WALIOPEWA HATI MRADI WA SAFARI CITY KUANZA UJENZI ILI HUDUMA ZIWAFIKIE"

Post a Comment