title : NEWS ALERT: MBUNGE ZITTO KABWE APANDISHWA KIZIMBANI LEO
kiungo : NEWS ALERT: MBUNGE ZITTO KABWE APANDISHWA KIZIMBANI LEO
NEWS ALERT: MBUNGE ZITTO KABWE APANDISHWA KIZIMBANI LEO
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe akifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kushikiliwa katika kituo cha Polisi kwa siku kadhaa.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, akiwa katika ukumbi wa wazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri kusomewa mashtaka yake yanayomkabili. Zitto anakabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, akiteta jambo na wakili wake Steven Mwakibolwa, kabla ya kwanza kusomewa kwa kesi hiyo katika ukumbi wa wazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hivyo makala NEWS ALERT: MBUNGE ZITTO KABWE APANDISHWA KIZIMBANI LEO
yaani makala yote NEWS ALERT: MBUNGE ZITTO KABWE APANDISHWA KIZIMBANI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: MBUNGE ZITTO KABWE APANDISHWA KIZIMBANI LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/news-alert-mbunge-zitto-kabwe.html
0 Response to "NEWS ALERT: MBUNGE ZITTO KABWE APANDISHWA KIZIMBANI LEO"
Post a Comment