MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA.

MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA.
kiungo : MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA.

soma pia


MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA.

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amefanya ziara ya kikazi tarehe 30.11.2018 kwa kukagua gwaride rasmi lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwake.
Katika ziara hiyo, Mhe.Chalamila alikabidhi magari mawili aina ya Probox kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya ili yatumike katika kuimarisha doria katika barabara kuu ili kupunguza ajali na kupambana na uhalifu.
Aidha Mhe.Chalamila alikabidhi pikipiki nne aina ya FEKON zilizotolewa na mdau wa Jeshi la Polisi kwa askari Polisi walioonyesha uaminifu katika kazi kwa kukamata fedha zaidi ya Tshs.Milioni 17 zilizokuwa zimeibwa dukani kwa mfanyabiashara mmoja huko Wilayani Chunya.
Sambamba hilo, Mhe.Mkuu wa Mkoa amekagua kambi ya Polisi Mbeya na kuahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kuhakikisha unafanyika ujenzi wa nyumba za kisasa za kuishi askari ili kuongeza morali ya kiutendaji kwa askari wa Jeshi la Polisi.
Mhe.Mkuu wa Mkoa alikamilisha ziara yake ya kikazi kwa kuzungumza na askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya na kusisitiza uadilifu, nidhamu na uaminifu. Aidha amelitaka Jeshi la Polisi kuendelea kudhibiti ajali za barabarani hasa madereva wa Pikipiki @ bodaboda ambao hawataki kutii sheria za usalama barabarani.
Pia Mhe.Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alitumia ziara hii kutoa tamko kwa wakazi wa Mbeya kuwa siku ya tarehe 09.12.2018 [uhuru wa Tanganyika] watumishi wote wa umma watashiriki kazi mbalimbali ikiwemo ya ujenzi wa majengo ya umma, kufyetua tofali, kuchota maji kwa ajili ya ujenzi na kufanya usafi wa mazingira katika maeneo yote ya Mkoa wa Mbeya.

 Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila akiwasili kuanza  ziara ya kikazi
  Pikipiki nne aina ya FEKON zilizotolewa na mdau wa Jeshi la Polisi kwa askari Polisi walioonyesha uaminifu katika kazi kwa kukamata fedha zaidi ya Tshs.Milioni 17 zilizokuwa zimeibwa dukani kwa mfanyabiashara mmoja huko Wilayani Chunya.
  Magari mawili aina ya Probox kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya ili yatumike katika kuimarisha doria katika barabara kuu ili kupunguza ajali na kupambana na uhalifu.
 Mhe.Chalamila akikabidhi magari mawili aina ya Probox kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya
Mhe.Mkuu wa Mkoa akikagua kambi ya Polisi Mbeya na kuahidi kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kuhakikisha unafanyika ujenzi wa nyumba za kisasa za kuishi askari


Hivyo makala MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA.

yaani makala yote MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mkuu-wa-mkoa-wa-mbeya-akabidhi-magari.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUU WA MKOA WA MBEYA AKABIDHI MAGARI MAWILI NA PIKIPIKI NNE KWA JESHI LA POLISI MBEYA."

Post a Comment