title : MHAGAMA AFUNGUA RASMI OFISI NDOGO ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI MKOANI KAHAMA
kiungo : MHAGAMA AFUNGUA RASMI OFISI NDOGO ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI MKOANI KAHAMA
MHAGAMA AFUNGUA RASMI OFISI NDOGO ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI MKOANI KAHAMA
Waziri wa Kazi, Ajira, Sera, Bunge, Vijana na wenye Ulemavu Mhe Jenista Mhagama akimkabidhi Meneja wa NSSF Kahama Ndugu Winston Mundigile Ufunguo wa Ofisi Ndogo alipofungua rasmi kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi Mkoani Kahama. Taasisi mbalimbali zimepewa ofisi ndogo ili kutoa elimu na rasilimali nyingine ili kuwakwamua wananchi wa Wilaya ya Kahama Kiuchumi
Waziri wa Kazi, Ajira, Sera, Bunge, Vijana na wenye Ulemavu Mhe Jenista Mhagama akisalimiana na Baadhi ya Wafanyakazi wa NSSF Kahama katika Ofisi Ndogo ya NSSF alipofungua rasmi kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi Mkoani Kahama. Taasisi mbalimbali zimepewa ofisi ndogo ili kutoa elimu na rasilimali nyingine ili kuwakwamua wananchi wa Wilaya ya Kahama Kiuchumi
Hivyo makala MHAGAMA AFUNGUA RASMI OFISI NDOGO ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI MKOANI KAHAMA
yaani makala yote MHAGAMA AFUNGUA RASMI OFISI NDOGO ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI MKOANI KAHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHAGAMA AFUNGUA RASMI OFISI NDOGO ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI MKOANI KAHAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/mhagama-afungua-rasmi-ofisi-ndogo-za.html
0 Response to "MHAGAMA AFUNGUA RASMI OFISI NDOGO ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI MKOANI KAHAMA"
Post a Comment