title : MAJALIWA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI RUANGWA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA
kiungo : MAJALIWA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI RUANGWA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA
MAJALIWA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI RUANGWA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia) wakimpongeza Mwanafunzi Halfani Abdallah Ngonde aliyemaliza Elimu ya Msingi katika Shule ya Nanjaru wilayani Ruangwa na ambaye aliibuka kuwa mwanafunzi bora wa Mkoa wa Lindi katika Matokeao ya Mtihani wa Darasa la Saba kwa mwaka huu. Waziri Mkuu alikuwa katika mkutano wa kuwapongeza walimu wa na baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi za wilaya ya Ruangwa ambayo imefanya vizuri na kuwa ya kwanza katika mkoa wa Lindi. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Narung'ombe katika Halmashauri ya Ruangwa, Novemba 18, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala MAJALIWA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI RUANGWA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA
yaani makala yote MAJALIWA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI RUANGWA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI RUANGWA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/majaliwa-awapongeza-walimu-na-wanafunzi.html
0 Response to "MAJALIWA AWAPONGEZA WALIMU NA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYANI RUANGWA KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MTIHANI WA DARASA LA SABA"
Post a Comment