title : HII HAPA ORODHA YA WANACHAMA WA YANGA WALIOCHUKUA FOMU
kiungo : HII HAPA ORODHA YA WANACHAMA WA YANGA WALIOCHUKUA FOMU
HII HAPA ORODHA YA WANACHAMA WA YANGA WALIOCHUKUA FOMU
Wanachama mbalimbali wa Yanga wamezidi kujitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi tofauti tofauti kuelekea uchaguzi wa klabu hiyo.
Takribani masaa 14 yaliyopita, idadi inayoonekana hapo chini ndiyo ilikuwa imeshachukua fomu, tutazidi kukuza wengine ambao watawasili kunako Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Makao Makuu ya Yanga.
1. Jonas Tibaroha
2. Iman Madega
3. Yono Kevela
4. Titus Osoro
5. Mbaraka Igangula
Makamu Mwenyekiti
1. Yono Kevele
2. Titus Osoro
Nafasi za Ujumbe
1. Mussa Katabalo
2. Salim Seif
3. Benjamini Jackson
4-Pindu Luloya
5. Silvester Haule
6. Hamad Islam
7. Shaffii Amri
8. Said Baraka
9. Dominic Francis
10. Ally Msingwa
11. Leonard Malongo
12. Salum Chota
13. Ramadhan Said
14. Geofrey Mwita
15. Frank Kalokalo
16. Arafati Haji
Hivyo makala HII HAPA ORODHA YA WANACHAMA WA YANGA WALIOCHUKUA FOMU
yaani makala yote HII HAPA ORODHA YA WANACHAMA WA YANGA WALIOCHUKUA FOMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HII HAPA ORODHA YA WANACHAMA WA YANGA WALIOCHUKUA FOMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/hii-hapa-orodha-ya-wanachama-wa-yanga.html
0 Response to "HII HAPA ORODHA YA WANACHAMA WA YANGA WALIOCHUKUA FOMU"
Post a Comment