title : BURUNDI YAKWAMISHA MKUTANO 20 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
kiungo : BURUNDI YAKWAMISHA MKUTANO 20 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
BURUNDI YAKWAMISHA MKUTANO 20 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Na. Vero Ignatus, Arusha
Mkutano wa 20 wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika ya mashariki uliokuwa ufanyike leo Mkoani Arusha umeaihirishwa.
Akitaja sababu za kuahirishwa kwa mkutano huo Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika ya mashariki kutoka Uganda Kirunda Kivejinja amesema nchi ya Burundi imekwamisha mkutano huo kwa kitokutuma muwakilishi
Waziri wa mambo ya nje ya nchi ya Tanzania Mhe. Augustino Mahiga amesema marais wawili wa Sudan ya Kusini na Rwanda wametuma wawakilishi lakini Rais wa Burudi hakutuma muwakilishi yeyote kwenye vikao vyote
'' Kwenye mikutano kama hii kuna kuwa na maandalizi ya ngazi tatu kwanza ni maafisa wataalam,makatibu wakuu na mwisho ya mawaziri na hatimaye inakuwa mkutano wawakuu lakini Burundi haikuleta wawakilishi kabisa na hawakutoa maelezo hivyo hatujui ninini kiewapata''alisema Mahiga
Hivyo kutokana na sheria za mkataba wa Afrika ya Mashariki kikao cha mawaziri kilishindwa kuchukua maamuzi, kwani hata kikao cha maamuzi lazima kiwe na wawakilishi kutoka nchi zote sita ."Hivyo kikao cha mawaziri hakikutoa maamuzi yeyote, tulijadiliana tu hayo ni kutokana na kilichopo katika mkataba wetu.
Hivyo makala BURUNDI YAKWAMISHA MKUTANO 20 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
yaani makala yote BURUNDI YAKWAMISHA MKUTANO 20 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BURUNDI YAKWAMISHA MKUTANO 20 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/burundi-yakwamisha-mkutano-20-wa-wakuu.html
0 Response to "BURUNDI YAKWAMISHA MKUTANO 20 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI"
Post a Comment