ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
kiungo : ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

soma pia


ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Wakati tarehe ya mwisho ya kupokea viongozi wa upinzani wanao omba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ikifika leo hii, Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha CUF Abdalah Mtolea amejivua uanachama wa CUF na kujiuzuru Ubunge wa Jimbo la Temeke, huku akieleza chanzo kikiwa migogoro isiyoisha katika Chama cha CUF kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Tukio la kujivua uanachama wa CUF na kujiuzuru ubunge lilitokea ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wakati akichangia hoja katika mjadala uliokuwa unaendelea mapema leo.

Ndugu Abdalah Mtolea jioni ya leo ametangaza nia yake ya kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akieleza msingi wa uamuzi huo ukiwa umejengwa katika ukweli kwamba wengi ya wapiga kura wake wamemshauri kujiunga na CCM.

Akizungumza katika kikao cha waandishi wa habari, watumishi na baadhi ya wanachama wa CCM katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM Jijini Dodoma, Ndugu Mtolea ameeleza sababu zinazopelekea kuomba kujiunga na CCM na kuwa amevutiwa na Mageuzi makubwa ya Kiuongozi na kazi nzuri inayofanywa na CCM na Serikali yake chini ya Ndugu John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kikao hicho cha waandishi wa habari, watumishi na baadhi ya wanachama wa CCM kimehudhuriwa pia na Kamaradi Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM ambaye amemwelekeza kwenda katika tawi lililo karibu na makazi yake Wilayani Temeke, Jijini Dar es Salaam ili afuate utaratibu wa kuomba uanachama wa CCM.



Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Bashiru Ally akizungumza jambo wakati wa kikao cha Watumishi na baadhi ya Wanachama wa CCM,kushoto aliyekubwa Mbunge wa Temeke kwa Tiketi ya CUF Ndugu Abdalah Mtolea
  Ndugu Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM na kushoto na aliyekubwa Mbunge wa Temeke kwa Tiketi ya CUF Ndugu Abdalah Mtolea Wakifurahia Jambo
Kikao cha Watumishi na Baadhi ya Wanachama wa CCM na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Bashiru Ally Kakurwa ambacho kilipata bahati ya kupokea kauli ya Ndugu Mtolea kuomba kujiunga na CCM.


Hivyo makala ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

yaani makala yote ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/aliyekuwa-mbunge-wa-temeke-abdalah.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ALIYEKUWA MBUNGE WA TEMEKE ABDALAH MTOLEA AOMBA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)"

Post a Comment