WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI.

WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI.
kiungo : WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI.

soma pia


WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI.

Mwambawahabari

Na maria Kaira,Mwambawahabari

Wazazi wameaswa kuachana na dhana potofu ya kuwaficha watoto wenye  Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo na badala yake wakubaliane na matokeo kwa kuwaonesha Upendo kama watoto wengine.

Akizungumza jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo,Akili na Viungo Tanzania (CHAWAUMAVITA )Bi.Mwanahamis Hussein amesema kutokana na changomoto wanazozipata watoto hao nijukumu lao kama wazazi kuwathamini ili waweze kupata mahitaji yao muhimu ikiwemo elimu,Afya pamoja na matibabu .

Bi Mwanahamis amesema lengo lao nikuwasaidia watoto hao waweze kupata mahitaji muhimu,na watanzania wapate kufahamu kuwa watoto kama hao Wapo na wanaitaji msaada wa karibu.

"Maadhimisho hayo ya  CP Duniani yatakayofanyika Octoba 6 mwaka huu katika viwanja vya Mnazi mmoja tunatarajia kuwa na mgeni rasmi ni waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Mhagama" amesema

Pia ameishukuru hospitali ya CCBRT kwa elimu wanayowapa jinsi ya kuweza kuishinao watoto wenye uhitaji maalumu.

Kwa upande wake mzazi Hassan Mwinga amewashauri wazazi kuudhuria kiliniki na kufata ushauri wa dakitari pindi wanapokuwa wajawazito.

"Nawashauri wazazi wenzangu kuachana na imani potofu tunapopata watoto kama hao tuwapeleke hospitali waweze kupata tiba iliyosahihi,pia tuwakubari tusiwakatae" amesema.

Hata hivyo kwa upande wake mwananchi Anna John amesema anawaasa wazazi kutowaficha watoto wenye Ulemavu wa Mtindio Wa Ubongo, Akili na Viungo na kuwataka kuwaonesha Upendo furaha kama watoto wengine.




Hivyo makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI.

yaani makala yote WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/waziri-jenista-mhagama-kuwa-mgeni-rasmi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI JENISTA MHAGAMA KUWA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA CP DUNIANI."

Post a Comment