SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII

SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII
kiungo : SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII

soma pia


SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII

Na Khadija Seif,Globu ya jamii

TAASISI isiyo ya kiserikali SUKOS inayomilikiwa na Kamishna mstaafu wa Jeshi la Polisi Suleiman Kova imezinduliwa rasmi jijini Dar es salaam.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Kova Taasisi hiyo ilianzishwa mwaka 2014  ambayo inatoa , huduma ya uokoaji,usimamizi,uhamasishaji wa jamii kuhusiana na namna ya kukabiliana na maafa ya aina mbalimbali ikiwa ni harakati za kuunga mkono juhudi za Serikali kukabiliana na maafa na majanga .

Kova ameeleza mabadiliko ya nchi yetu kwa sasa   haiwezi kuepukana na majanga na kutokana na uzoefu na  utendaji wake wa kazi na Jeshi la Polisi lilitoa msaada wa hali na mali kuhakikisha wananchi wanarudi Kwenye maisha yao ya kila siku.

 Kova ameyataka  kwa mashirika yasiyo ya Serikali  kusaidia wananchi wanaofikwa na kadhia hiyo ili kupata hifadhi kwa muda pamoja na chakula.Hata hivyo  ametoa pole kwa  ajari iliyotokea Mkoa wa Mwanza kwa kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere mkoani Mwanza Katika Wilaya ya Ukerewe  na kusababisha athari kubwa ya kimaisha na mali katika jamii.

Aidha, amefafanua kazi ya taasisi hiyo ni  kutoa elimu kuhusu namna ya kujiokoa katika maafa ikishirikiana na kampuni ya CocaCola,Taasisi ya Mpango wa Taifa ya Damu salama,na Cops Security.Pia amesema tarehe sita kutakua na  mbio za mwendopole ambazo zitafanya katika Uwanja Taifa kuelekea viwanja vya Jakaya M. Kikwete saa moja asubuh pamoja na tukio la uchangiaji wa damu kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa hospitalini.

Kova ametoa rai kwa wananchi kujitokeza Oktoba  6 ili kujifunza vingi likiwemo suala la kujikinga na kujiokoa kwenye majanga na maafa yatakayotokea mahali popote .
 


Hivyo makala SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII

yaani makala yote SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/sukos-kutoa-elimu-jinsi-ya-kujikinga-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SUKOS KUTOA ELIMU JINSI YA KUJIKINGA NA MAAFA, MAJANGA KWENYE JAMII"

Post a Comment