SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE
kiungo : SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE

soma pia


SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akizungumza na Watumishi wa ofisi ya Bunge katika kikao cha pamoja kati ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Watumishi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ndg. Alois Makoi
 Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai (aliesimama) akizungumza na Watumishi wa ofisi ya Bunge (hawapo kwenye picha) katika kikao cha pamoja kati ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Watumishi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (Kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ndg. Alois Makoi (kulia), Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (wa pili nyuma) na Mhe. Mary Chatanda (wa pili kulia nyuma)
 Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Ndg. Alois Makoi akizungumza na Watumishi wa ofisi ya Bunge katika kikao cha pamoja kati ya Tume ya Utumishi wa Bunge na Watumishi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Katikati mbele ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (Kushoto mbele) na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai (mbele kulia), Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu (wa pili nyuma kushoto), Mbunge wa korogwe Mjini Mhe. Mary Chatanda (wa pili kulia nyuma) na Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Fakharia khamis

Watumishi wa ofisi ya Bunge wakifuatilia kikao cha pamoja na Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo tarehe 31 Oktoba 2018 katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/spika-ndugai-aongoza-kikao-cha-tume-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE NA WATUMISHI WA OFISI YA BUNGE"

Post a Comment