Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa

Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa
kiungo : Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa

soma pia


Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa

Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa

Zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya kufanyika kwa mbio za Rock City Marathon, idadi kubwa ya wanaridha wa kimataifa wameonyesha nia ya kuja nchini ili kushiriki katika mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio hizo wanariadha walioonyesha nia ya kushiriki mbio hizo wengi wanatoka katika nchi za Ethiopia, Ghana, Afrika Kusini, Marekani, Canada, China, Rwanda, Burundi, DRC Congo huku Kenya ikiendelea kuongoza katika orodha ya mataifa ya nje yanaoleta washiriki zaidi katika mbio hizo.

“ Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya kufanyika kwa mbio hizo tayari zaidi wa washiriki 200 kutoka nje ya nchi wameonyesha nia ya kushiriki mbio hizi na kinachosubiriwa kwasasa ni wao tu kufuata taratibu kupitia Shirikisho la Riadha Taifa (RT). Lengo letu ni kupata washiriki zaidi ya 5000 katika msimu huu,’’ alisema Ngowi katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari mapema leo.

“Ni taarifa njema kwetu kuona kwamba baada ya muda mrefu sasa si watanzania bali ulimwengu mzima umeanza kutuelewa nini tunakifanya Kanda ya Ziwa hususani katika jiji la Mwanza…ni ushindi pia kwa sekta ya utalii katika kanda hii.’’alibainisha

Kwa mujibu wa Ngowi, katika kuhakikisha kwamba mbio hizo zinalitangaza vyema jiji la Mwanza, njia ambazo zimekuwa zikitumika kwa wakimbiaji zinahusisha alama muhimu za jiji hilo ikiwemo jiwe la Bismarck lililopo kwenye fukwe ya Ziwa Victoria, makutano ya mzunguko wa samaki (The Vic Fish Roundabout), jengo la Rock City Mall pamoja na Daraja la Furahisha na hatimaye kuishia Uwanja wa CCM Kirumba.
Baadhi ya washiriki wa mbio za Rock City Marathon mwaka jana.



Hivyo makala Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa

yaani makala yote Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/rock-city-marathon-yazidi-kuwavutia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rock City Marathon yazidi kuwavutia washiriki wa kimataifa"

Post a Comment