MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI
kiungo : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI

soma pia


MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI

Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensen (kulia) akiukaribisha Ubalozini hapo ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (wa pili kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nshekela (kushoto), Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Esther Mwambapa waliomtembelea Ofisini kwake, jijini Dar es salaam Oktoba 15, 2018. Ujumbe huo ulifika ubalozini hapo kwa utambulisho rasmi wa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB baada ya kuchukua nafasi hiyo hivi karibuni. Denmark ni sehemu ya wanahisa wakubwa wa Benki ya CRDB.
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensen (wa pili kushoto) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay (wa pili kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nshekela (kushoto), Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Esther Mwambapa, walipokutana kwa mazungumzo kwenye Ofisi za Ubalozi, jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nshekela (wa pili kulia) akifafanua jambo wakati akizungumza na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensen (kulia), alipomtembelea Ofisini kwake, jijini Dar es salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay na kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki hiyo, Tully Esther Mwambapa. kulia kwa Balozi ni Meneja Mipango kitengo cha Biashara wa Ubalozi huo, Ihunyo Boniface Nzogere.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay  na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nshekela, wakimsikiliza Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensen, walipokutana kwa mazungumzo Ofisini kwake, jijini Dar es salaam.
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensen (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nshekela (kushoto) wakati walipokuwa wakizungumza baada ya kukutana kwenye Ofisi za Ubalozi wa Denmark, jijini Dar es salaam Oktoba 15, 2018.


Hivyo makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI

yaani makala yote MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-crdb.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI"

Post a Comment