NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA

NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA
kiungo : NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA

soma pia


NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii

WAFANYAKAZI watano wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi likiwamo la kughushi saini ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais -Muungano na Mazingira Januari Makamba katika vyeti vya tathmini ya uharibifu wa mazingira.

Wakili wa Serikali Faraja Nguka amewasomea washtakiwa makosa yao leo Oktoba 31, 2018 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Augustina Mmbando.Wakili Nguka amedai washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka ya kula njama, mawili ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kuisababishia Serikali hasara ya Sh 160 milioni.

Aidha Mahakama imetoa hati ya kukamatwa kwa mshtakiwa Magori Wambura (38) mkazi wa Bombambili kwa sababu wakati washtakiwa hao wakisomewa mashtaka hayo yanayowakabili mshtakiwa huyo ambae ni Ofisa mazingira wa Nemc, hakuwepo mahakani.Wakili Nguka amewataja washtakiwa hao kuwa ni Ofisa wa Mazingira NEMC Deusdith Katwale, Msewe, Luciana Lawi, Edna Lutanjuka, Ofisia Mwaruka na Lilian Laizer.Imedaiwa kati ya Septemba 27, 2016 na April I mwaka huu wa 2018 washtakiwa walikula njama ya kutenda kosa la kughushi.

Katika shtaka la pili washtakiwa hao wanadaiwa, Oktoba 17,2017 kwa udanganyifu walighushi cheti cha tathmini ya uharibifu wa mazingira chenye namba ya usajili EC/EIA/3366 wakijaribu kuonesha kuwa cheti hicho ni halali na kwamba kimetolewa na NEMC wakati wakijua si kweli.Pia washtakiwa hao wanadaiwa kughushi saini ya Januari Makamba ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais -Muungano na Mazingira katika cheti cha tathmini ya uharibifu wa Mazingira chenye usajili namba EC/ EIA/3366 wakijaribu kuonesha kuwa cheti hicho ni halali na kwamba kimetolewa na NEMC wakati wakati wakijua si kweli.

WAFANYAKAZI watano wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)  wakiwa wamefishwa katika chumba cha  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka sita ya uhujumu uchumi likiwamo la kughushi saini ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais -Muungano na Mazingira Januari Makamba katika vyeti vya tathmini ya uharibifu wa mazingira.



Hivyo makala NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA

yaani makala yote NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/newz-alert-wafanyakazi-watano-wa-nemc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWZ ALERT: WAFANYAKAZI WATANO WA NEMC WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUGHUSHI SAINI YA WAZIRI JANUARI MAKAMBA"

Post a Comment