NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA.

NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA.
kiungo : NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA.

soma pia


NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA.





Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi na kubainisha kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 4.96.

Ufaulu mwaka 2017  ulikuwa asilimia 72.76 na 2018 ni asilimia 77.72.


Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Katibu Mtendaji wa NECTA,  Dk.Charles Msonde amesema watahiniwa 733,103 waliofanya mtihani huo wamefaulu.

“Watahiniwa 733,103 kati ya 943,318 waliotunukiwa matokeo wamefaulu. Watahiniwa hawa wamepata alama 100 au zaidi kati ya alama 250," amesema.

Amesema kati ya hao wasichana ni 383,830 (asilimia 77.12) na wavulana ni 350,273 (asilimia 78.38).

"Takwimu zinaonyesha kuwa ufaulu katika masomo ya Kiingereza, Maarifa ya jamii, Hisabati na Sayansi umepanda kwa asilimia kati ya 4.03 na 11.92 ikilinganishwa na mwaka jana," amesema.

Ameongeza kuwa ufaulu katika somo la Kiswahili umeshuka kwa asilimia 1.44.


Pia, Necta imewafutia matokeo watahiniwa 357 baada ya kubainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani yao na 120 hawakufanya kabisa na watarudia mwakani.

Kuangalia matokea ya darasa la saba mwaka huu Bofya hapa chini.
Bofya hapa (Link I)........http://41.59.85.99/psle/psle.htm

Bofya hapa (Link 2)....https://ift.tt/2D17COL


Hivyo makala NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA.

yaani makala yote NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/necta-yatangaza-matokeo-ya-darasa-la_23.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NECTA YATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA."

Post a Comment