title : KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA
kiungo : KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA
KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo. Wajumbe hao wakiongoozwa na Mwenyekiti Mhe. Naghenjwa Kaboyoka wamekutana na Mwenyekiti wa Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA).
Viongozi wa Mamlaka ya Bandari (TPA) wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipokutana nao katika kikao kilichofanyika Jijini Dodoma Leo. Wa kwanza ni Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Ndugu Deusdedit Kakoko na Mwenyekiti wa Bodi ya TPA, Profesa Ignas Rubaratuka.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Mhe. Abdallah Chikota akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kililchofanyika Jijini Dodoma leo ambapo walikutana na Halmashauri ya Kilwa.pembeni ni Katibu wa Kamati Ndugu Victor Mhagama.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo. Wajumbe hao wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe. Abdallah Chikota wamekutana na Halamshauri ya Wilaya ya Kilwa.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilwa Ndugu Renatus Mchau akitoa ufafanuzi wa jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakati Halmashauri hiyo ilipokutana na Kamati hiyo katika kikao kilichofanyika leo Jijini Dodoma.
Hivyo makala KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA
yaani makala yote KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/kamati-za-bunge-zafanya-vikao-jijini.html
0 Response to "KAMATI ZA BUNGE ZAFANYA VIKAO JIJINI DODOMA"
Post a Comment