BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA

BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA
kiungo : BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA

soma pia


BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA

*Yamo ya kutakatisha fedha, kukutwa na nyara za Serikali

Na  Karama Kenyuko,Globu ya jamii

MDOGO wake mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz, anayetambulika kwa jina la Akram Aziz leo Oktoba 31, 2018 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka 75, yakiwemo mashtaka 71 ya kukutwa na silaha za aina mbalimbali pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya Dola za Marekani 6494.

Pia mshtakiwa huyo anakabiliwa na mashtaka mawili ya kukutwa na nyara za Serikali zenye thamani ya zaidi ya Sh.milioni 108, risasi za zaidi ya 6,000 .Mashitaka ya mshitakiwa amesomewa mashtaka yake leo mahakamani hapo na jopo la mawakili wawili wa Serikali likiongozwa na Wakili wa Serikali Mkuu Faraja Nchimbi aliyekuwa akisaidiana na Wakili wa Serikali Mwandamizi Paul Kadushi mbele ya Hakimu Mkazi Augustine Rwizile

Akisoma hati ya mashtaka, Wakili Kadushi amedai katika shitaka la utakatishaji fedha, mshtakiwa anadaiwa kati ya Juni 2018 na Oktoba 30 mwaka 2018 katika eneo la Oyesterbay jijini Dar es Salaam alijipatia jumla ya dola za Marekani 9018 huku akijua kuwa kiasi hicho cha fedha ni zao la kosa tangulizi la kujihusisha na biashara haramu ya nyara za Serikali pamoja na kukutwa na silaha bila kibali.

Taarifa zaidi kuhusu mshitakiwa huyo endelea kufuatilia Michuzi Blog ambayo itakujuza kila kinachoendelea.
MDOGO wake mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz, anayetambulika kwa jina la Akram Aziz leo Oktoba 31, 2018 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka 75, yakiwemo mashtaka 71 ya kukutwa na silaha za aina mbalimbali pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya Dola za Marekani 6494.
 MDOGO wake mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz, anayetambulika kwa jina la Akram Aziz leo Oktoba 31, 2018 akifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashtaka 75, yakiwemo mashtaka 71 ya kukutwa na silaha za aina mbalimbali pamoja na kutakatisha fedha zaidi ya Dola za Marekani 6494.



Hivyo makala BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA

yaani makala yote BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/breaking-newzzzzzz-mdogo-wake-rostam.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BREAKING NEWZZZZZZ: MDOGO WAKE ROSTAM AZIZ AFIKISHWA KORTINI AKIKABILIWA NA MASHITAKA 75 LIKIWEMO LA UTAKATISHAJI FEDHA"

Post a Comment