title : BODI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA UBIA WA KILIMO TANZANIA.
kiungo : BODI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA UBIA WA KILIMO TANZANIA.
BODI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA UBIA WA KILIMO TANZANIA.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafasi (TPSF) Bw. Salum Shamte ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa Baraza la Kilimo Tanzania (ACT) akimuonyesha Mwenyekiti wa Baraza la kilimo Tanzania (ACT) Dkt Sinare Yusuph (katikati) Barua kutoka Benki ya Kilimo inayokataa kuwapatia Mkopo wakulima wa Kijiji cha Minepa Wilayani Ifakara kwa kile walichodai mpaka wakulima hao wawe na hati miliki ya Mashamba hayo kitu kinachotajwa kuwa si sahihi, ambapo wajumbe wa bodi wameazimia kulifanyika kazi suala hilo.

Afisa Mauzo wa Kampuni ya Lonagro inayojihusisha na uuzaji wa zana za Kilimo hifadhi Bw Ray Travas akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Baraza la Kilimo Tanzania waliofika ofisini kwake Mjini Arusha ambapo alisema bado kuna mwitikio mdogo kwa wakulima kutumia zana za kisasa katika kilimo kutokana na uzalishaji wao kuwa mdogo huku pia wakikwamishwa na bei za mazao ambazo zimekuwa chini zaidi.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafasi (TPSF) Bw. Salum Shamte ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa Baraza la Kilimo Tanzania (ACT),akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania Bi Janeth Bitegeko na wakulima mbalimbali katika moja ya ziara ya wajumbe wa bodi ya ACT kukagua miradi inayosimamiwa na Ubia wa Kilimo Tanzania (TAP).

Mkurugenzi wa kampuni ya Siza Agro Processing iliyoko Mjini Mufindi inayojishughulisha na kukoboa na kupaki kwa viwango tofauti bidhaa za mchele na unga akiwaonyesha wajumbe wa Bodi bidhaa ya Mchele inayozalishwa na Kiwanda chake, ingawa kwa sasa anasema shughuli za uzalishaji katika kiwanda hicho chenye mashine za kisasa unasuasua.
Hivyo makala BODI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA UBIA WA KILIMO TANZANIA.
yaani makala yote BODI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA UBIA WA KILIMO TANZANIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA UBIA WA KILIMO TANZANIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/bodi-ya-baraza-la-kilimo-tanzania.html
0 Response to "BODI YA BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAHITIMISHA ZIARA YAKE YA KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA NA UBIA WA KILIMO TANZANIA."
Post a Comment