WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA

WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Katibu Mkuu Baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali, Ndg. Ismail Suleiman akizungumza na Wajumbe waliofika katika semina ya Mabadiliko ya Sera ya Mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
 Msajili wa Baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali, Ndg. Marcel Katemba (wa pili kulia) akizungumza na Wajumbe (hawapo kwenye picha) waliofika katika semina ya Mabadiliko ya Sera ya Mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu Baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali, Ndg. Ismail Suleiman, kushoto ni Mwenyekiti anaeendesha semina hiyo Ndg. Justa Mwatoka Kiwohede na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali, Ndg. Nicholaus Zacharia
 Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Wakili Harold Sungusia akitoa maada katika semina ya Mabadiliko ya Sera ya Mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Katika semina hiyo iliwahusisha wadau na wajumbe mbali mbali kutoka Mashirika yasiyo ya kiserikali Tanzania
Mratibu wa Novelty Youth Centre Tanga ambae pia ni Mjumbe, Ndg. Jasson Eliakimu akizungumza jambo wakati wa semina ya Mabadiliko ya Sera ya Mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

  Baadhi ya wajumbe wakifuatilia semina ya Mabadiliko ya Sera ya Mashirika yasiyo ya kiserikali iliyofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. 


Hivyo makala WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wajumbe-wadau-mashirika-yasiyo-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAJUMBE, WADAU MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI WAPATIWA SEMINA YA MABADILIKO YA SERA BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment