title : WAFAMASIA WAOMBOLEZA MAAFA YA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE
kiungo : WAFAMASIA WAOMBOLEZA MAAFA YA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE
WAFAMASIA WAOMBOLEZA MAAFA YA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE
CHAMA CHA WAFAMASIA TANZANIA
Uongozi na wanachama wa Chama cha Wafamasia Tanzania unatoa pole
kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa. Dkt. John Pombe
Magufuli, ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba mkubwa
uliotokea kutokana na ajali ya kivuko cha Mv. Nyerere iliyotokea katika ziwa
Victoria, tarehe 20.09.2018.Tunawaombea majeruhi wapone haraka na
Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi.
AMINA
Imetolewa na
Rais wa Chama cha Wafamasia Tanzania (PST)
Wafamasia: Wataalamu wako wa dawa
Hivyo makala WAFAMASIA WAOMBOLEZA MAAFA YA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE
yaani makala yote WAFAMASIA WAOMBOLEZA MAAFA YA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFAMASIA WAOMBOLEZA MAAFA YA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wafamasia-waomboleza-maafa-ya-ajali-ya.html
0 Response to "WAFAMASIA WAOMBOLEZA MAAFA YA AJALI YA KIVUKO CHA MV. NYERERE"
Post a Comment