Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo

Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo
kiungo : Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo

soma pia


Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo

SEKTA ya Kilimo ya Afya inatakiwa kuwa na wabunifu mbalimbali katika kuweza kutatua matatizo yaliyopo katika sekta hizo.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha wabunifu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) Mtafiti Mwandamizi katika Idara ya Utafiti wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Rodgers Msuya amesema vijana wabunifu katika teknolojia wanahitajika katika kutatua changamoto zilizopo katika sekta mbalimbali nchini.
Amesema kuwa wabunifu hao wanaweza kufanya ubunifu kwa kuweza kutengeneza sauti ya kukimbiza Mbu bila ya kuacha madhara kwa binadamu kisha tatizo la Malaria kuisha.
Msuya amesema kuwa warsha hiyo kati ya Tanzania na Afrika Kusini ni ushirikiano katika mradi wa utafiti katika sekta ya Kilimo na Afya na baadaye timu ya watu wawili katoka nchi ya Tanzania na Afrika Kusini  hiyo kuleta shuluhisho ya matatizo yanayokabili sekta hizo.
Nae Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech)  Dkt Amos Nungu amesema kuwa warsha hiyo imekuja katika wakati serikali iko katika uchumi wa viwanda hivyo lazima kuwepo kwa wabunifu kuweza kutatua changamoto.
Amesema kuwa vijana wabunifu bado wanahitajika katika kufanya ubunifu ambao utakuwa suluhisho katika matatizo yanayobili sekta mbalimbali.
 Mtafiti Mwandamizi katika Idara ya Utafiti wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Rodgers Msuya akizungumza katika warsha ya wabunifu wa Tehama kati Afrika Kusini na Tanzania ,warsha hiyo imefanyika katika ukumbi wa Costech Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mkuu wa Costech Dkt Amos Nungu akizungumza kuhusiana na uhitaji wa wabunifu katika sekta mbalimbali katika warsha ya wabunifu wa Tehama iliyofanyika katika ukumbi wa Costech jijibni Dar es Salaam.
 Baadhi ya  wadau wa utafiti na ubunifu wa Tehama walioshiriki warsha hiyo kati ya Tanzania na Afrika Kusini.
Picha ya pamoja wabunifu wa Tehama katika warsha uliyokutaanisha Tanzania na Afrika Kusini.


Hivyo makala Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo

yaani makala yote Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wabunifu-wa-tehama-wa-kilimo-na-afya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wabunifu wa Tehama wa kilimo na Afya wahitajika kutatua changamoto zilizopo"

Post a Comment