UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR

UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR
kiungo : UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR

soma pia


UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR

ILE promosheni ya kampuni ya TBL kupitia bia yake ya Castle Lite kwa lengo la kuwapatia burudani inayojulikana kama Unlock Castle Lite inazidi kusambaza furaha kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambapo mwishoni mwa wiki ilikuwa kata mti panda mti ndani ya baa ya 5N iliyopo maeneo ya Sinza.

Lengo kubwa la promosheni hiyo ni Kutangaza chapa na kuwashukuru wateja kwa kuendelea kufurahia EXTRA COLD CASTLE LITE!.

Tofauti na promosheni zilizozoeleka, promosheni hii imesheheni kila aina ya burudani ambapo inaweza kuwakutanisha ndugu, jamaa na marafiki pamoja na kupiga picha mbalimbali huku wakifurahia kinywaji bia ya Castle Lite wakiwemo wafanyakazi wa TBL ambao kwa sasa wameamua kutokana ofisini na kujumuika na wateja wao.

Unlock Castle Lite, ambayo inafanyika katika siku za Alhamisi na Ijumaa baada ya saa za kazi pia inawashirikisha wafanyakazi wa kampuni ya TBL ambao wanajumika pamoja na wateja na kuwapatia zawadi mbalimbali za promosheni. Tayari wakazi wa Kawe, Boko na Tegeta, Sinza,wamefikiwa na Unlock Castle Lite.
 Burudani za furaha ya Castle Lite zikiendelea
  Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakiwa na wateja waliojumuika pamoja katika burudani za furaha ya Castle Lite.
Furaha ya Castle Lite ilipamba kila mahali katika kiwanja cha maraha cha 5N kilichopo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR

yaani makala yote UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/unlock-castle-lite-yazidi-kuwapa-raha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "UNLOCK CASTLE LITE YAZIDI KUWAPA RAHA WAKAZI WA JIJI LA DAR"

Post a Comment