title : UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC--WANADIASPORA
kiungo : UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC--WANADIASPORA
UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC--WANADIASPORA
Waziri wa Afya Mhe.Hamadi Rashid Mohamed (kushoto) alipokuwa akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka Taasisi ya Afya ,Elimu ya Maendeleo (HEAD INC) katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Isaa Haji Ussi (Gavu)
Baadhi ya Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka Taasisi ya Afya ,Elimu ya Maendeleo (HEAD INC) wakiwa katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar walipokuwa katika mazungumzo na Uongozi wa Wizara ya Afya yaliyofanyika leo wakiwa katika ziara maalum hapa Nchini kutembelea maendeleo ya Hospitali za Serikali,
Baadhi ya Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka Taasisi ya Afya,Elimu ya Maendeleo (HEAD INC) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akiongoza mazungumzo baina ya Uongozi wa Wizara ya Afya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Ofisini kwa Waziri, wakiwa katika ziara maalum hapa Nchini kutembelea maendeleo ya Hospitali za Serikali,[Picha na Ikulu] 14/09/2018.
Hivyo makala UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC--WANADIASPORA
yaani makala yote UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC--WANADIASPORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC--WANADIASPORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/ujumbe-wa-taasisi-ya-head-inc.html
0 Response to "UJUMBE WA TAASISI YA HEAD INC WASHINGTON DC--WANADIASPORA"
Post a Comment