Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka.

Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka.
kiungo : Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka.

soma pia


Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka.


Shirikisho la soka barani Uefa linatarajia kuazisha michuano mingine mipya na ya tatu kwa ukubwa soka barani humo baada ya ile ya klabu bingwa ulaya na Europa ligi.
Kwa Mujibu wa wa mwenyekiti wa Muungano wa vilabu barani ulaya, Andrea Agnelli, michuano ya hiyo ya tatu kwa ukubwa inatarajiwa kuanza kuanzia mwaka 2021.
Agnelli amesema michuano itasaidia kuongeza vilabu vinavyoshirikia michezo ya ulaya utoka 80 mpaka 96
Hata hivyo katibu huyo wa muungano wa vilabu hakufafanua muundo upi utatumika katika michuano hiyo mipya.
Wazo la kuanza kwa michuano hiyo kutaifanya michuano ya Europa ligi kupungua timu toka timu 48 mpaka 32. Hivyo michuano yote itakuwa na idadi sawa ya timu.


Hivyo makala Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka.

yaani makala yote Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/uefa-kuanzisha-michuano-mingine-mipya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Uefa Kuanzisha Michuano Mingine Mipya ya Soka."

Post a Comment