RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO

RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO
kiungo : RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO

soma pia


RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO

Atuma salamu kwa watalaam wa mazingira..awaambia ole wao.

Na Said Mwishehe,Globu ya kijamii

RAIS Dk.John Magufuli amewataka watalaam nchini kuwa wazalendo kwa nchi yao huku akieleza kuwa baadhi ya watalaam ndio chanzo cha kukwamisha miradi na hasa ya maendeleo.

Pia ametoa onyo kwa wataalam wa mazingira ambao wametoa mapendekezo ambayo ameyaita ua hovyo na yenye lengo la kukwamisha mradi wa umeme wa maji wa Stiglers georg na amewataka kuyafuta mapendekezo yao mara moja na ole wao wakishindwa kuyabadilisha.

Rais Magufuli amesema hayo leo wakati anazindua rasmi flyover ya Mfugale katika makutano ya Tazara jijini Dar es Salaam ambapo ametumia nafasi kueleza namna ambavyo baadhi ya watalaam nchini wamekuwa chanzo cha kukwamisha miradi."Ngoja nitoe mfano mmoja tu wa namna ambavyo baadhi ya watalaam wetu wanakwamisha miradi yenye tija kwa watanzania."Tena ni wataalam ambao wamezaliwa Tanzania na wamesomeshwa na Serikali,wengine ni weusi kuliko hata mimi lakini wanafanya maamuzi ya hovyo kabisa.

" Tunafahamu umeme wa maji ndio wenye bei nafuu kabisa kuliko umeme wowote .Mkakati wa Serikali ni kuhakikisha tunapata umeme wa maji kupitia mradi wa Stiegler's Gorge,"amesema.Ameongeza wakati Serikali inataka kuanza ujenzi huo na fedha zipo tayari lakini watalaam wa mazingira wametoa mapendekezo yao.

"Ukiisoma ile ripoti yao utakutana na mapendekezo mengi na baadhi ya mapendekezo yanasema watakaokuwa wanajenga eneo hilo wasijisaidie eneo hilo,waende umbali wa kilometa 10." Pendekezo lingine chochote ambacho kitapelekwa hapo kipimwe kwanza,yaani kama unataka kupeleka mchicha kwa ajili ya watu waliopo eneo la mradi basi lazima upimwe.Chochote ambacho utakipeleka eti wanataka kipimwe.



Hivyo makala RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO

yaani makala yote RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-magufuli-awanyooshea-kidole.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS MAGUFULI AWANYOOSHEA KIDOLE WATALAAM WASIO WAZALENDO, ATOA MAAGIZO"

Post a Comment