MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA

MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA
kiungo : MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA

soma pia


MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamii

KATIKA hali ya kustaajabisha mkazi mmoja katika kijiji cha Magoza Wilayani Mkuranga amemuua mkewe na kumfukia.

Imeelezwa kuwa katika  kijiji cha magoza  Kata ya Kiparang'anda Wilayani Mkuranga  Selemani Juma amemuua mkewe Bi Selina Sulubu kwa madai ya mgogoro wa mapenzi uliodumu kwa muda mrefu na kisha kumfukia kwa siri katika shamba la jirani yake.

Tukio hilo limebainika leo baada ya siku kumi kupita tangu kufukiwa kwa mwili huo.

Michuzi blog ilifika eneo la tukio na kushuhudia jeshi la polisi kwa kushirikiana na wataalam wa afya  kutoka hospitali ya Wilaya na wananchi wakifukua mwili wa marehemu.

Kwa upande wake Mganga mkuu wa Hospitali ya Mkuranga Dkt. Steven Mwandambo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo  kwa kuuona mwili wa marehemu na wamekabidhi jeshi la polisi ili waweze kuendelea na hatua nyingine.

Aidha kaka wa marehemu  bahati Mabubu amesema; baada ya kupata taarifa kwa shemeji yake kuhusu kutoroka kwa dada yake nyumbani aliamua kufunga safari kuja Mkuranga ili kumtafuta dada yake.

Mabubu ameongeza kuwa alipofika Mkuranga katika kijiji cha magoza alibaini shemeji ya kuwa na hali ya wasiwasi,ndipo alipompeleka kituo cha polisi na kukiri kufanya mauji ya mke wake.

Ikumbukwe kuwa ni miezi minne tu imepita tangu kutokea kwa mauaji ya nesi wa Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga yaliyosabishwa na wivu wa mapenzi kutoka katika wilaya ya Mkuranga.
Polisi na wataalamu wa afya kwa kushirikiana na wananchi wakisaidiana kufukua mwili wa Selina Sulubu aliyeuwawa na mumewe katika kata ya Kiparang`anda Wilaya ya Mkuranga mkoa Pwani. (picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii)


Hivyo makala MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA

yaani makala yote MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mume-amuuwa-mkewe-na-kumfukia-huko.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MUME AMUUWA MKEWE NA KUMFUKIA HUKO MKURANGA"

Post a Comment