Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake.
kiungo : Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake.

soma pia


Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Mr. Salim M.Omar akikanusha tuhuma zilizotolewa na Jumuiya ya Vijana ya CUF dhidi yao za harakati zao za utoaji wa zawadi kwa Wanafunzi waliofanya vizuri Kidatu cha Sita Zanzibar. Walizo kabidhi na Taasisi ya Mimi na Wewe foundation kwa kushirikina na afisi ya mkoa wa Mjini Maghrib Zanzibar  kuwa zilikuwa Shindikizo la kuwataka vijana na kuwalazimisha kuwapa kadi za Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Salim, akizungumza na waandishi wa habari na wanafunzi husika katika katika ukumbi wa Shirika la Bima Mpirani Zanzibar. Tuhuma hizo zilizo tolewa na Juvi cuf September 5 mwaka huu huko ofisini kwao vuga.


Hivyo makala Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake.

yaani makala yote Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mkurugenzi-wa-taasisi-ya-green-light.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mkurugenzi wa Taasisi ya Green Light Foundation Akanusha Tuhuma Dhidi ya Taasisi Yake."

Post a Comment