title : Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-2.
kiungo : Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-2.
Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-2.
Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ukiendelea katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam jioni hii wakati Timu ya Yanga ikiwa mbele kwa mabao 4-2 Mchezo ukiendelea kipindi cha pili cha mchezo huo.
Timu ya Yanga imeandika bao lake la kwanza katika kipindi cha kwanza dakika ya kwanza ya mchezo huo kupitia mchezaji wake Mrisho Ngasa, nao Timu ya Stand waliongeza kasi na katika mchezo huo na katika dakika ya 15 ya mchezo huo kipindi cha kwanza mshambuliaji wake.....
Nao Vijana wa yanga wakaandika bap la pili kupitia mshambuliaji wa Ajibu katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo kuunganisha krosi safi kupitia kwa mshambuliaji shishimbi na Yanga wakapiga bao la Nne katika kipindi cha Pili cha mchezo huo kupitia mshambuliaji wake Gaseke.
Hivyo makala Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-2.
yaani makala yote Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-2. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-2. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mchezo-wa-ligi-kuu-ya-tanzania-kati-ya.html
0 Response to "Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Kati ya Yanga na Stand United Yakiwa Wakiwa Mbele Kwa Bao 4-2."
Post a Comment