MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA

MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Azzan Zungu (katikati) akiongoza kikao kilichokuwakutanisha Wenyeviti wa Kamati tatu za Bunge (kushoto) na Maseneta kutoka Bunge la Ufaransa (kulia) katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Balozi wa Ufaransa nchini.
Mkuu wa Msafara wa Maseneta toka Bunge la Ufaransa Seneta Ronan Dantec (wakwanza kushoto) akizungumza wakati wa kikao kilichokuwakutanisha Wenyeviti wa Kamati tatu za Bunge (kulia) na Maseneta kutoka Bunge la Ufaransa (kushoto) katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Wenyeviti wa Kamati tatu za Bunge na Maseneta toka Bunge la Ufaransa katika picha pamoja mara baada ya kuzungumza katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Toka kulia ni Mweyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Mhe. Emmanuel Mwakasaka, Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Nape Nnauye, Seneta Cyril Pelleah, Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mkuu wa Msafara wa Maseneta toka Bunge la Ufaransa Seneta Ronan Dantec na Seneta Bernard Jomier.


Hivyo makala MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/maseneta-kutoka-bunge-la-ufaransa_12.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MASENETA KUTOKA BUNGE LA UFARANSA WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WENYEVITI WATATU WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment