title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China Mr. Han Zheing.
kiungo : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China Mr. Han Zheing.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China Mr. Han Zheing.
Jamuhuri ya Watu wa China itaendelea kuzingatia nafasi ya Tanzania katika kudumisha uhusiano wake wa Kiuchumi, Maendeleo na Ustawi wa Kijamii kutokana na ushirikiano wa pande hizo mbili ulilolenga kusaidia Nchi changa katika Mpango wake wa Kushirikiana kwa karibu zaidi na Mataifa ya Bara la Afrika.
Naibu Waziri Mkuu wa China Bwana Han Zheing alitoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Ujumbe wake hapo katika Makaazi ya Wageni mashururi wa Kimataifa Villa 7 Mjini Nanning Jimbo la Guangxi.
Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China Mr. Han Zheing.
yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China Mr. Han Zheing. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China Mr. Han Zheing. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar.html
0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Azungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China Mr. Han Zheing."
Post a Comment