KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA

KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA
kiungo : KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA

soma pia


KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA

Baada ya kuingoza Taifa Stars kwenda suluhu ya kutofungana na Uganda The Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019, Kocha Emmanuel Amunike amekwea pipa kuelekea Hispania.

Amunike ameondoka nchini na shirika la ndege 'Qatar Airways' kuelekea nchini huko kwa mapumziko kabla ya kurejea tena Tanzania kwa kuanza maandalizi ya kuiandaa Stars kuelekea mechi dhidi ya Cape Verde.

Kocha huyo atawasili tena nchini kuanzia Septemba 22 tayari kwa kambi nyingine maalum ambayo itaanza Oktoba 1 kuelekea mechi hiyo ya kufuzu AFCON.

Stars itacheza na Cape Verde Oktoba 10 kuendelea na harakati za kuwania tiketi za kucheza AFCON mwakani.


Hivyo makala KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA

yaani makala yote KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kocha-taifa-stars-asepa-hispania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KOCHA TAIFA STARS ASEPA HISPANIA"

Post a Comment