KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA

KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA
kiungo : KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA

soma pia


KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA

KATIBU Mkuu wa wizara ya fedha na mipango, Dotto James amefungua semina ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) cha makatibu wakuu wa taasisi na wakuu wa idara wa wizara ya fedha na mipango inayofanyika ukumbi wa benki kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo.

Amesema kuwa semina hiyo itawajengea uwezo maafisa hao kutoka wizara na taasisi wanazooongoza ili waweze kutekeleza miradi ya PPP-(Public service Private partnership) yenye sifa.

James ametoa wito kwa washiriki wa semina wawe na utayari,uzalendo wad hat katika kuchangia, kuchambua kikamilifu miradi yenye sifa ili kuongeza ufanisi na wigo wa kutoa huduma za kiuchumi na kijamii.

“Matumaini yangu kuwa kila mmoja atashiriki kikamilifu katika semina hii muhimu na kupata uelewa wa mambo mhimu yatakayowezesha kuongeza jitihada za maandalizi ya mradi wa PPP.”Amesema James.

Nae Kaimu Mkurugezi wa mkondo wa chini wa shirika la mafuta na gesi (PTDC), Emmanuel Gilbert mradi wa PPP unatambulishwa kwa makatibu wakuu ili serikali na sekta binafsi waweze kushirikiana kikamilifu katika mradi huo.

Amesema kuwa katika uwekezaji katika usambazaji wa mafuta na gesi hapa nchini utasaidia kwa haraka wananchi kuweza kutumia gesi ya hapa nchini.

Amesema kuwa katika mradi huo wa kusambaza gesi utashirikisha waombaji watakao kidhi vigezo kwaajili ya usambazaji wa gesi hiyo ambapo kwa jiji la Dar es Salaam kutakuwa na vituo vitatu ambapo kitakuwa Ilala, Temeke na Kinondoni.
 Katibu Mkuu wizara ya Fedha na Mipango,Dotto James akizungumza  wakati wa kufungua semina ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) cha makatibu wakuu wa taasisi na wakuu wa idara wa wizara ya fedha na mipango inayofanyika ukumbi wa benki kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo Agosti 6, 2018.
 Mtaalamu wa masuala ya ubia kati ya sekta za umma na sekta binafsi, Philip Kelly  akifafanua jinsi Mradi wa sekta Binafsi na sekta za umma wakati wa semina ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) iliyofanyika ukumbi wa benki kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo Agosti 6, 2018.
Kaimu Mkurugezi wa mkondo wa chini wa shirika la mafuta na gesi (PTDC), Emmanuel Gilbert akizungumza na waandishi wa hanbari jijini Dar es Salaam leo mara baada ya semina ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) iliyofanyika ukumbi wa benki kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo Agosti 6, 2018.
Picha ya Pamoja ya Makatibu wakuu wa taasisi na wakuu wa idara wa wizara ya fedha na mipango mara baada ya semina ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP) iliyofanyika ukumbi wa benki kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam leo Agosti 6, 2018.
Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.


Hivyo makala KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA

yaani makala yote KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/katibu-mkuu-wa-wizara-ya-fedha-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO AFUNGUA SEMINA YA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA UMMA"

Post a Comment