title : (JKCI) KUFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA VIJIBWENI WILAYANI KIGAMBONI
kiungo : (JKCI) KUFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA VIJIBWENI WILAYANI KIGAMBONI
(JKCI) KUFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA VIJIBWENI WILAYANI KIGAMBONI
Mwambawahabari 
TAARIFA KWA UMMA
MAADHIMISHO YA SIKU YA MOYO DUNIANI
TAREHE 29/09/2018
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kuwajulisha wananchi kwamba itafanya upimaji na utoaji wa elimu ya afya ya moyo bila malipo katika Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Upimaji huu utafanyika kwa watoto na watu wazima kuanzia saa 2 (mbili) asubuhi. Wananchi wote mnakaribishwa.
Kauli mbiu: “Kwa moyo wangu, kwa moyo wako, sote pamoja kwa mioyo yetu , tunatimiza ahadi”.
Limetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
27/09/2018
Hivyo makala (JKCI) KUFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA VIJIBWENI WILAYANI KIGAMBONI
yaani makala yote (JKCI) KUFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA VIJIBWENI WILAYANI KIGAMBONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala (JKCI) KUFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA VIJIBWENI WILAYANI KIGAMBONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/jkci-kufanya-upimaji-wa-magonjwa-ya.html
0 Response to "(JKCI) KUFANYA UPIMAJI WA MAGONJWA YA MOYO BILA MALIPO KATIKA VIWANJA VYA HOSPITALI YA VIJIBWENI WILAYANI KIGAMBONI"
Post a Comment