title : JAFO AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI,AKEMEA UZEMBE KWA WATUMISHI.
kiungo : JAFO AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI,AKEMEA UZEMBE KWA WATUMISHI.
JAFO AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI,AKEMEA UZEMBE KWA WATUMISHI.
Mwambawahabari
Na John Luhende
Waziri wan chi Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jafo ametoagizo kwa Manispaa ya Kigamboni kukamilisha ujenzi wa jengo la kituocha Afya Kigamboni haraka ifikakapo Novemba 30 mwakahuu, na kuhimiza ujenzi huo uanze maramoja kwa kuwa tayari umechelewa kuanza.
Mhe.Jafo ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara yake katika Manispaa ya kigamboni kukagua na kuhimiza utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika miradi ambayo ofisi yake imetoafedha kwaajili ya ujenzi, ambapo ametembelea ujenzi wa Kituo cha afya Kimbiji na ujenzi wa ofisi za Mkurugenzi na mkuu wa Wilaya na kuwataka wajenzi wamiradi hiyo kuikamilisha kwa wakati.
Pamoja na kuridhishwa na ujenzi wa kituocha afya Kimbiji , Jafo amemtaka mkandarasi anayejenga jengo la ofisi za Manispaa ya Kigamboni ambaye ni TBA kukamilisha ujenzi huo mapema mwezi novemba na kumwagiza mkurugezi kuhamia katika ofisi hizo mwezi , na kumtaka mkandarasi huyo kuongeza vibarua ilikuharakisha kazi.
Kwaupande wake msimamizi wa ujenzi huo mbunifu majengo wa TBA, amemwambia waziri Jafo kuwa kazi hiyo imeshindwa kukamilika kwa wakati kutokana na mvua nyingi zilizo nyesha katika msimu uliopita ambapo zilirudisha nyuma ujenzi huo kwa kuwa maji yalijaa wakati wanachimba msingi wa majengo hayo.
Naye mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda amemwoma Waziri Jafo kubadilisha mfumo wa upatikanaji kwa wakuu wa idara kwani wengi ndiyo wanaokwamisha utekelezaji wa maagizo na shughuli nyingi serikali.
Hivyo makala JAFO AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI,AKEMEA UZEMBE KWA WATUMISHI.
yaani makala yote JAFO AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI,AKEMEA UZEMBE KWA WATUMISHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI,AKEMEA UZEMBE KWA WATUMISHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/jafo-aitaka-tba-kukamilisha-ujenzi-wa.html
0 Response to "JAFO AITAKA TBA KUKAMILISHA UJENZI WA OFISI ZA MANISPAA YA KIGAMBONI,AKEMEA UZEMBE KWA WATUMISHI."
Post a Comment