JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA.
kiungo : JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

soma pia


JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo amewaagiza Viongozi wa Jiji la Arusha kudumisha usafi ili kulinda miundombinu ya barabara ambazo zimejengwa jijini humo kwa gharama kubwa. Waziri Jafo ameyasema hayo leo alipokuwa katika ziara ya kikazi Mkoani Arusha kukagua miradi mbalimbali inayo tekelezwa chini ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI. Katika ziara hiyo,Waziri Jafo hakupendezwa hata kidogo na uchafu uliooneka kutapakaa ndani ya mifereji hiyo ambayo imejengwa hivi karibuni chini ya mradi wa uendelezaji Miji mkakati (TSCP).

 Kufuatia hali hiyo, Jafo ameugiza uongozi wa jiji hilo kuunda makundi ya wamama na wajane ambao wapo tayari kufanya usafi ili kila kikundi kikabidhiwe barabara yao kwa ajili ya kuitunza huku wakipata kipato ambacho kinaweza kikawasaidia kulea watoto na familia zao. 

 "Barabara za lami nzuri pamoja na mifereji iliyojengwa na zinazoendelea kujengwa zimeonekana kujaa uchafu kitendo ambacho kinahatarisha miundombinu hiyo kuharibika haraka,"amesema Pamoja na ukaguzi wa miundombinu ya barabara inayojengwa Jijini Arusha Jafo alitembelea kituo cha afya Kaloleni kilichopokea shilingi milioni 400 kutoka serikali huu lakini alikuta ujenzi haujaanza. Kutaokana na hali hiyo Jafo ameuagiza uongozi wa Jiji la Arusha kuanza ujenzi huo kabla ya kumalizika kwa wiki ijayo na ametaka ujenzi huo uwe umekamilika mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo akiwa na viongozi wa Jiji la Arusha akikagua miundombinu ya barabara.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa viongozi wa Jiji la Arusha akikagua miundombinu ya barabara.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo akiwa na viongozi wa Jiji la Arusha akikagua miundombinu mbalimbali.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,TAMISEMI Selemani Jafo akiwa na viongozi wa jiji la Arusha alipotembelea kituo cha Afya Kaloleni kukagua ujenzi wa miundombinu.



Hivyo makala JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

yaani makala yote JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/jafo-aagiza-usafi-na-ulinzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JAFO AAGIZA USAFI NA ULINZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA."

Post a Comment