title : Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake
kiungo : Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake
Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake
Bondia Hassan Mwakinyo aliwashangaza wengi katika ndondi, baada ya kumchapa mpinzani wake Sam Eggington wa Uingereza katika pambano lililochezewa Birmingham.
Mwakinyo, anayetokea Tanga, alicheza pambano la mwisho la utangulizi lililokutanisha bondia maarufu wa Uingereza Amir Khan dhidi ya Samuel Vargas.
Siri yake ya kufanikiwa ilikuwa nini?
Nassor Rashid, meneja wa bondia huyo, anasema alikuwa na matumaini asilimia 95 kwamba angefanikiwa.
Promota huyo anasema video ya ukalimani wake ambayo imesambaa sana mitandao ya kijamii imesaidia sana kumvumisha na kwamba ndoto ya kupambana na kelly Brook na Amir Khan bado ipo, na baadaye Floyd Mayweather.
Hivyo makala Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake
yaani makala yote Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/hassan-mwakinyo-bondia-mtanzania-asema.html
0 Response to "Hassan Mwakinyo: Bondia Mtanzania asema maisha magumu yamechangia ushindi wake"
Post a Comment