BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2.

BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2.
kiungo : BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2.

soma pia


BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF) wakiwa katika Mkutano leo jijini Dar es Salaam.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Baraza Kuu la Uongozi Chama cha Wananchi (CUF) wamekutana leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili ajenda zisizopungua I2 zenye lengo kuangalia  mustakabali wa Taifa la Tanzania.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa kikao hicho cha Baraza kuu  kitafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia leo.

Profesa Lipumba amesema kuwa Baraza litajadili ajenda zisizopungua I2 ambazo zote zimelenga kujadili mambo mbalimbali ikiwemo upatikanaji wa haki na furaha kwa watanzania.

"Tutajadili matatizo tuliyonayo jambo ambalo litasaidia kupiga hatua za kimaendeleoa katika nchi yetu" amesema Profesa Lipumba.



Hivyo makala BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2.

yaani makala yote BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/baraza-kuu-cuf-wakutana-kujadili-ajenda.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BARAZA KUU CUF WAKUTANA KUJADILI AJENDA ZITTO I2."

Post a Comment